SHA · 4 min read
Jinsi ya kujisajili SHA kwa simu
Hatua rahisi za kujisajili na Social Health Authority ukitumia simu yako.
Stuck with SHA registration or your account?
Prefer to handle it yourself? The guide continues below.

Kila Mkenya anatakiwa kujisajili SHA ili apate huduma za afya. Unaweza kufanya hivyo kwa simu, bila kwenda ofisini.
Unachohitaji
- Kitambulisho chako (ID)
- Namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina lako
- Majina ya mke/mume na watoto, kama unawaongeza
Hatua
- 1Piga *147# kwenye simu yako.
- 2Chagua kujisajili.
- 3Weka namba ya ID na maelezo unayoulizwa.
- 4Thibitisha maelezo yako.
- 5Subiri ujumbe wa SMS wa kuthibitisha usajili.
Tip: Ukikwama au ujumbe hauji, tutumie WhatsApp tukusaidie. Contact Cyber Kenya on WhatsApp for the current assistance fee.
